Unajua kuna watu wamepewa nafasi flani kwenye
redio basi wanaona wanajua sana music kuna huyu mtangazanji anaitwa diva
kwenye twitter amesema track ya kelele na video ni mbaya sana hivi
anajua maana ya track na video mbaya au katumwa huyu....sijamsoma bado
ila simlaumu kaanza music juzi juzi ndo tatizo...
No comments:
Post a Comment